User Rating: 4 / 5

Star ActiveStar ActiveStar ActiveStar ActiveStar Inactive
 

Pasipoti  za  sasa  ni  kwa  matumizi  ya  mtu  mmoja  tu,  watoto  wanatakiwa  kuwa  na pasipoti na watafuata taratibu zote zinazohitajika za utoaji wa pasipoti mpya. Fomu za maombi zisomwe na zijazwe kwa makini na sahihi itatiwa mbele ya afisa wa Ubalozi. Hakikisha unapiga picha ambazo nyuma yake zinaonyesha rangi ya maji bahari (skyblue  background).

Tafadhali pakua waraka huu kwa maelezo zaidi: Utaratibu wa kutoa pasipoti mpya blinkingNewgif